AJENDA YA MAGEUZI YA VIJANA TANGU UHURU WA NCHI HADI MAKADIRIO YA SIKU ZA USONI
Ajenda ya mageuzi ya vijana tangu uhuru imekuwa ya kuungwa mkono, kufundisha maadili, ulengaji mahiri wa kiufundi, utendaji wa mikakati, mawasiliano na ubia madhubuti. Maendeleo na juhudi za kuimarika zimekuwepo, zipo na bado zitakuwepo. Kiufupi nchi imepiga hatua Kwa asilimia kubwa kwa ajenda ya mageuzi ya vijana tangu tangu kupata uhuru. Kwa mazingira ya kawaida […]
AJENDA YA MAGEUZI YA VIJANA TANGU UHURU WA NCHI HADI MAKADIRIO YA SIKU ZA USONI Read More »